Tuesday, September 30, 2014

Paris St-Germain watatinga Mechi hii ya Nyumbani kwao ya Kundi F dhidi ya FC Barcelona bila ya Straika wao mahiri Zlatan Ibrahimovic ambae ameumia kifundo cha Mguu. Katika Mechi za kwanza za Kundi lao, PSG ilitoka Sare na Ajax na Barcelona kuichapa Apoel Nicosia Bao 1-0. Wakati PSG hawajafungwa hata Mechi moja katika Mechi 9 Msimu huu, ingawa 6 kati yake ni suluhu, Barcelona wamekuwa...
Dakika ya 15 Peter Crouch aliifungia bao la kwanza la kichwa na kuifanya Stoke City kuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle baada ya Victor Moses kutoa krosi safi kwa Crouch ambaye ameunga kwa kichwa hadi langoni mwa Newcastle.Kibarua mashakani kwa kocha Pardew!  Mpaka mapumziko Stoke ndio ilikuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle United.Ushindi wa kwanza wa Nyumbani kwa Stoke...
Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, JacksonMmbando...

waliotembelea blog