Rooney
alipoifunga timu yake ya zamani Everton na kunyanyua mikono juu, likiwa
bao la tatu kwa Man United. (0-3) Manchester United wakiongoza.2-0 Ander Herrera akishangilia bao lake la piliBao
la pili lilifungwa kwa kichwa dakika ya 22 na Ander Herrera na bao la
kwanza lilifungwa na Morgan Schneiderlin dakika ya 18 shuti kali.VIKOSI: Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway,...
Saturday, October 17, 2015


VIKOSI:Man City: Hart, Zabaleta, Otamendi, Mangala, Sagna, Fernandinho, Toure, Jesus Navas, De Bruyne, Sterling, Bony.Akiba: Kompany, Fernando, Nasri, Caballero, Demichelis, Roberts, Iheanacho. Bournemouth: Boruc, Francis, Cook, Distin, Daniels, Smith, Gosling, Surman, Ritchie, O'Kane, Murray.Akiba: MacDonald, King, Kermorgant, Federici, Bennett, Cargill, Pugh. Refa: Mike De...


LIVE: EVERTON 0 v 2 MANCHESTER UNITED
Bao
la pili lilifungwa kwa kichwa dakika ya 22 na Ander Herrera na bao la
kwanza lilifungwa na Morgan Schneiderlin dakika ya 18 shuti kali.VIKOSI: Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway, McCarthy, Barry, Lennon, Barkley, Naismith, Lukaku.Subs: Robles, Kone, Mirallas, Deulofeu, Osman, Funes Mori, Browning. Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling,...


Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake.
Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake.
Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake.
Waombolezaji
wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa,
Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani
kwake Kijichi Dar es Salaam leo...


VIKOSI:Tottenham XI: Lloris, Walker, Alderweireld, Vertonghen, Rose, Alli, Dembele, Chadli, Eriksen, Lamela, Kane. Subs: Vorm, Davies, Trippier, Wimmer, Clinton, Townsend, WinksLiverpool XI: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Lucas, Milner, Lallana, Coutinho, Origi. Subs: Bogdan, Toure, Allen, Ibe, Sinclair, Teixeira, Randa...


Sergio
Aguero na David Silva wataukosa mtanange wa Man City dhidi Bournemouth
leo. Hapo hapo, Tottenham na Liverpool nao wanamajeruhi kadhaa. Wayne
Rooney wa Man United yeye yupo vizuri na anataraji kuwaongoza Manchester
United kama Nahodha wao huko Goodson Park Everton leo hii. Pia Michael
Carrick nae amepona.VIKOSI VINATEGEMEWA KUWA HIVI:MAN UNITED DHIDI YA EVERTON De
Gea, Romero, Blind,...


Kocha
wa Manchester United Louis van Gaal anadhani umefika wakati wa Wayne
Rooney kuanza kuonyesha cheche zake tena kwenye Uwanja wa Goodison Park
ambao ndio alichomoza na kuwa Staa wa Dunia. Rooney alianza
kuichezea Timu ya Kwanza ya Everton tangu 2002, akiwa Kijana wa Miaka
17, na kwa Miaka Miwili alizoa kila sifa lakini Mwaka 2004 alihamia Man
United kwa Dau la Pauni Milioni 30 na kuzua...
Subscribe to:
Posts (Atom)