
Chokochoko
za Nduli Iddi Amin Dada, kuichokoza Tanzania hadi kupelekea kuanza kwa
vita iliyomfaya aikimbie nchi yake mwaka 1978, ulikuwa ni Mto huu wa
Kagera, ambapo alikuwa akitaka mto huu ndiyo uwe mpaka halisi
unaotenganisha nchi yake ya Uganda na Tanzania. Jambo hilo
lilimkasilisha sana Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere, aliyeamua
kumuadabisha baada ya yeye kutangaza kwa kejeli...