Saturday, July 19, 2014

DICKSON ISHENGOMA NA ROSE MBABAZI WAMEREMETA LEO BUKOBA! Bi. Harusi Rose Mbabazi akiwa na Mpambe wake kwenye Gari tayari kuelekea Kanisa kuu Cathedral Bukoba. Wakiwa Kanisani tayari Bwana Harusi Dickson  akamvisha pete mkewe Rose Mbabazi leo hii Kanisani. Bibi Harusi Rose Mbabazi akimvisha Pete Mumewe Bw. Dickson Ishengoma Waumini waliohudhuria ibada hiyo wakiwa kwenye Furaha Uthibitsho...
Rais Mpya wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Kushoto). Viongozi wapya KAAT na viongozi wa zamani wakipongezana mara baada ya uchaguzi huo. Makamu wa Rais wa KAAT aliyemaliza muda wake, Bibi Margaret Alfanies (Katikati)...

waliotembelea blog