Wednesday, March 18, 2015

Ligi Kuu Vodacom, VPL, Leo ipo dimbani kwa Mechi 3 za Jijini Dar es Salaam, Mbeya na huko Tanga huku Yanga wakiwa na nafasi poa kutwaa uongozi wakishinda. Yanga Leo watakuwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza na Kagera Sugar na ushindi kwao utawashusha Mabingwa Watetezi Azam FC kutoka kileleni. Lakini Kagera Sugar ni Timu ngumu ambayo katika Mechi ya kwanza ya Ligi Msimu huu...
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: LEO JUMATANO HAPATOSHI!! BARCELONA vs MANCHESTER CITY HUKO NOU CAMP Manchester City wana kibarua kigumu kusonga Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI kwa mara yao ya kwanza kabisa. City Jumatano Usiku wapo Nou Camp kurudiana na Barcelona baada ya kuchapwa 2-1 na Barca wakiwa kwao Etihad Wiki 3 zilizopita katika Mechi ya kwanza. Kwenye Mechi hiyo ambayo Barca walitawala,...
Arsenal iliichapa AS Monaco 2-0 kwao Stade Louis II Jijini Monaco ambako hawajafungwa tangu 2005 lakini wametupwa nje ya UEFA kwa Bao za Ugenini na hii ni mara ya 5 mfululizo kwa Arsenal kushindwa kutinga Robo Fainali. Arsenal walifungwa kwao Emirates Bao 3-1 na matokeo ya usiku huu kufanya Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili kuwa 3-3 na AS Monaco kutinga Robo Fainali kwa Ubora wa Bao za Ugenini....

waliotembelea blog