Saturday, February 8, 2014

  ‘FC Shakhtar regretfully informs that on 8 February 2014 the life of a footballer Maicon Pereira de Oliveira tragically ended.‘He died in a car crash in Donetsk.‘He was a talented footballer, open and friendly guy. Maicon loved life and knew how to make it positive and bright.‘Tragic, untimely and absurd death took away a wonderful person from our ranks. Maicon was only 25 years old.‘It ...
Taswira ya uwanjani Anfield wakati wa dakika chache kabla ya mapumziko Nipepee kwanza maana....mhhhh!!!!  Martin Skrtel akishangilia bao lake la pili Wamekwisha Gunners ndani ya dakika 20 wameishafungwa bao 4...
...
Mkutano    wa nane wa maajadiliano  ya wazi kuhusu maandalizi   ya  malengo  mpya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) umekamilika  siku ya  Ijumaa  hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.  Katika Mkutano huu wa wa wiki moja  wajumbe walijadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu  mada kadhaa  ambazo ziliwasilishwa mbele...
  Na watenda kazi Francis Godwin Blog ,Njombe na Iringa WAKATI  wananchi  wa kata ya  Nduli jimbo la Iringa mjini na  wale  wa kata ya Njombe mjini  jimbo la Njombe  kusini  kesho wanashiriki katika zoezi la upigaji  kura katika  uchaguzi mdogo  wa udiwani ,chama  cha mapinduzi (CCM ) mkoa  wa ...
Mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akimpa matibabu mchezaji wa  Shule ya Sekondari Kawe Thomas Ibrahim aliyeumia wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Dar es Salaam Community Cup leoo katika viwanja vya shule ya msingi Turiani. Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Henry Lihaya akimkaribisha  Waziri...
  KLABU ya Manchester City imepanga kuongeza Uwanja wake wa Etihad kwa zaidi ya viti 14,000 ambapo mara baada ya mpango huo kukamilika uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 62,170 badala ya 47,620 kama ilivyo sasa. Mpango huo tayari umeshawasilishwa katika tume ya mipango ya halmashauri na kutokana na ripoti iliyotolewa jana mpango huo umekubaliwa. Kama matengenezo ya...
:     Martin Skrtel 1' Martin Skrtel 10'Raheem Sterling 17' Daniel Sturridge 20'  Martin Skrtel akishangilia  Martin Skrtel akishangilia bao lake la pili Wamekwisha Gunners ndani ya dakika 20 wameishafungwa bao 4-0 Daniel Sturridge akifunga bao la nne na kufanya  4-0 katika dakika ya ...
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamali Malinzi (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jana kuhusu siku 100 tangu walipoingia madarakani. Kulia ni msaidizi wa Rais masuala ya Ufundi, Pelegrinius Rutahyuga na kushoto ni Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameelezea hatua zilizofikiwa...
...

waliotembelea blog