Saturday, January 18, 2014

LIVERPOOL leo wametoka nyuma ya bao 2-0 Aston Villa bao zimefungwa na Andreas Weimann ambaye amefunga bao la kwanza katika dakika ya 25 na bao la pili likifungwa na Christian Benteke bao safi la kichwa baada ya mlinda mlango wa Liverpool kuukosa na mchezaji mwingine na hatimae Christian Benteke kumalizia bao hilo nyavuni katika dakika 36. Dakika ya 53 kipindi cha pili liverpool wamepata...
 Mchezaji Jesus Navas nae akishangilia bao la pili kwa City baada ya kufunga bao hilo dhidi ya Cardiff City. BAO la tatu kwa City limefungwa dakika ya 76 na mchezaji wao matata Yaya Touré na bao la mwisho likifungwa na Sergio Agüero katika dakika ya 79.Bao za Cardiff City zimefungwa kipindi cha kwanza wakianza kuwafunga City kupitia kwa mchezaji Craig Noone katika dakika ya 29 kipindi...
Kipindi cha kwanza dakika ya nne Jay Rodriguez anaipatchikia bao timu yake ya Southampton akiwa ndani ya box. Bao hilo limepatikana baada ya kupewa basi safi kutoka kwa Morgan Schneiderlin. Dakika ya 31 mchezaji wa Southampton Dejan Lovren akaongeza bao jingine baada ya kupigwa mpira kama kona. Dakika moja kupita kwenye dakika ya 32 mchezaji wa Sunderland Fabio Borini nae akaonesha...
RATIBA: Jumamosi Januari 18 15:45 Sunderland v Southampton 18:00 Arsenal v Fulham 18:00 Crystal Palace v Stoke 18:00 Man City v Cardiff 18:00 Norwich v Hull 18:00 West Ham v Newcastle 20:30 Liverpool v Aston Villa Jumapili Januari 19 16:30 Swansea v Tottenham 19:00 Chelsea v Man United Jumatatu Januari 20 23:00 West Brom v Everton MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND Pos.Logo...

waliotembelea blog