JUMAMOSI KESHO HAPATOSHI!! ARSENAL v MAN UNITED - VAN GAAL ATAJA KIKOSI CHAKE CHA KUIUA GUNNERS EMIRATES!! KIPA DE GEA NDANI!
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na Wanahabari kuhusu Mechi yao ya Jumamosi na Arsenal huko Emirates na hasa hali ya Wachezaji wake Majeruhi ambao mwanzoni mwa Wiki walifikia 12 toka Timu ya Kwanza.Akiongea huko Aon Training Complex, Carrington...
Friday, November 21, 2014


Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
You might also like:
...
Subscribe to:
Posts (Atom)