Friday, December 4, 2015

Kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa soka duniani FIFA, imeidhinisha mageuzi yanayonuiwa kufufua hadhi ya shirikisho hilo lililokumbwa na kashfa nyingi.Mapendekezo hayo yaliyoidhinishwa wakati wa mkutano wa kamati hiyo mjini Zurich inajumuisha sheria inayosema rais wa shirikisho hilo na maafisa wakuu wanaweza kuhudumu kwa kipindi cha miaka kumina miwili pekee na pia kuwepo kwa uchunguzi...
LEO huko Addis Ababa Nchini Ethiopia, Rwanda na Uganda zimefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Chalenji baada ya kushinda Mechi zao za Nusu Fainali kwa Mikwaju ya Penati. Katika Nusu Fainali ya kwanza, Sudan, waliocheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 23 baada ya Bakri Almadina kupewa Kadi Nyekundu, na Rwanda zilitoka 0-0 katika Dakika 90 na Gemu kwenda Nyongeza za Dakika 30 na ndipo Sudan kutangulia kufunga kwa Bao la Atahir Babakir la Dakika ya 100 lakini Rwanda walisawazisha kupitia Jean...
Belgium imebaki Nambari Wani kwenye FIFA Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo huku Tanzania ikipanda Nafasi 3. Mabingwa wa Dunia Germany wameshuka Nafasi 2 na sasa wapo Nafasi ya 4 wakati Argentina wakipinda Nafasi 1 na kushika Nafasi ya Pili na Spain kupanda Nafasi 3 na kukamata Nafasi ya 3. Brazil nao wapo Nafasi ya 6 baada kupanda Nafasi 2. Tanzania sasa ipo Nafasi ya 132 baada ya kupanda...
Sir Alex Ferguson amemuunga mkono Mchezaji wa zamani wa Manchester United Gary Neville kufanikiwa kama Meneja mara baada ya kuteuliwa kuiongoza Valencia ya Spain hadi mwishoni mwa Msimu huu. Neville, mwenye Miaka 40, alitumia maisha yake yote ya uchezaji Soka akiwa chini ya Sir Alex Ferguson huko Manchester United ambako alicheza Mechi 602 na kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Englamnd mara 8,...

waliotembelea blog