
Wakaazi wa Mwanza wakiwa wamefurika kwa maelfu huku wakishangilia
wakati kundi la Weusi likitumbuiza katika show ya Kilimanjaro Music
Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya
mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Bongo flava, Ben Pol akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mwanza
wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika...