Monday, January 9, 2017

HAFLA ya FIFA ya kutunuku Tuzo za FIFA za Ubora Duniani kwa Mwaka 2016 zimefanyika Usiku huu huko Zurich, Uswisi na Cristiano Ronaldo kuibuka ndio Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani. Akitwaa Tuzo hii, Ronaldo, anaechezea Real Madrid na Nchi yake Portugal, aliwashinda kwa Kura Lionel Messi na Antoine Griezmann. Ronaldo pia alitwaa, mapema Mwezi Desemba, Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani...
DROO YA RAUNDI YA 4 ya EMIRATES FA CUP imefanyika Leo Usiku huko BT Tower Mjini London ikiendeshwa na Wachezaji wa zamani wa Kimataifa wa England Michael Owen na Martin Keown na Mabingwa Watetezi Manchester United kupangwa kucheza kwao Old Trafford na Wigan Athletics. Man City na Arsenal zote zimepangwa kucheza Ugenini kwa Arsenal kuivaa Southampton au Norwich na Man City kucheza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika benchi la kibanda cha kupigia kiwi (Shoe Shine) pamoja na wakazi wengine wa Chato katika eneo maarufu kama Stendi za zamani Chato mkoani Geita. Kibanda hicho cha Kiwi ndicho Rais Dkt. Magufuli alichokuwa...

waliotembelea blog