Akiandika katika ukurasa wake maalumu katika gazeti la EVENING STANDARD
la huko nchini Uingereza kocha mkuu wa klabu ya wagonga nyungo wa
London, West Ham United, Sam Allardyce amesema alisikitishishwa sana na
kitendo cha kocha mpya wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal cha
kutompatia kinywaji (mvinyu) baada ya mechi kama alivyokuwa akifanya Sir
Alex Ferguson
Kulia ni kocha...