Tuesday, November 4, 2014

Steven Fletcher aliiwezesha kupata Ushindi Sunderland kwa kuifunga Crystal Palace waliokuwa nyumbani Selhurst Park Bao 3-1 na kuisaidia kuiinua toka eneo hatari la kushuka Daraja la Ligi Kuu England.Fletcher aliipa Sunderland Bao la kuongoza lakini Beki wao Wes Brown alijifunga mwenyewe na kuwapa Palace Bao la kusawazisha.Jordi Gomez akaipa Sunderland Bao la Pili na mwishowe Fletcher akafunga...

waliotembelea blog