
Kipindi
cha kwanza Dakika ya 7 anaipachikia bao la kwanza England. Dakika ya 45
Danny Welbeck aliwapa ba la pili England na kufanya 2-0 na kwenda
Mapunziko England ikiongoza kwa bao hizo za Rooney na D. Welbeck.
Kipindi cha pili dakika ya 58 Raheem Sterling aliwafungia England bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Lithuania.
Harry Kane aliyeingia kipindi cha pili
dakika ya 71 kuchukua nafasi...