
Ukitaja Tuzo kubwa zinazohusu Muziki wa Tanzania ni Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards… Nigeria nao wanazo za kwao, zinaitwa Headies Awards na good news ni kwamba tayari wakali wanaowania Tuzo hizo wamefahamika.. yani ile list ya Nominees wote niko nayo tayari.
Tumeona kwa KTMA huwa inatoa Tuzo pia kwa baadhi ya wasanii wa nje, mfano kipengele cha ‘Wimbo Bora Afrika Mashariki‘… YES,...