Cristiano Ronaldo akshangilia bao lake la PenatiDakika
ya 23 kipindi cha kwanza Cristiano Ronaldo anaipachikia bao la kwanza
Real Madrid kwa mkwaju wa Penati na kufanya 1-0 dhidi ya Juventus. Bao
hilo la Cristiano Ronaldo lilidumu na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele
na huku jumla ya magoli ya mtanange wa kwanza na huu japo bado dakika...