Mwili wa jambazi hilo ukiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama
Kijana mmoja ambaye hajatambulika
jina lake mwenye umri kati ya miaka 26 hadi 30 ameuawa kwa kupigwa risasi
wakati akiwa na wenzake wakijaribu kuvunja duka maeneo ya Shunu, kata ya
Nyahanga wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Tukio hilo limetokea majira ya saa
nane usiku wa kuamkia leo ambapo jambazi hilo likiwa na wenzake watatu...