Wachezaji wa Liverpool wakiwa mazoezini leo hiiDejan na Lickie Lambert wakipasha
Jordan Henderson
Nathaniel Clyne kazini leo Liverpool
Raheem SterlingJoe Gomez nae ndani mazoezin...
Monday, July 6, 2015



BONDIA
Floyd Mayweather amepokonywa mkanda wa WBO uzito wa Welter alioshinda
dhidi ya Manny Pacquiao- na Anthony Mundine ameomba kuzichapa naye
Septemba.
Mayweather
alishindwa kulipa wakati Ijumaa dola za KImarekani 200,000 ambayo ni
ada ya mkanda kwa WBO na Kamati imeamua kumvua taji hilo mbabe huyo
mwenye umri wa miaka 38. Inamaanisha Timothy Bradley JR anatarajiwa
kuvikwa mkanda...



MSHAMBULIAJI
Memphis Depay amejiunga na wachezaji wenzake wa Manchester United kwa
mara yaa kwanza tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 25 kutoka PSV.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa sura mpya pekee viwanja vya
Carrington jana wakati kikosi cha Louis van Gaal kiliporejea mazoezini
kabla ya ziara ya Amerika kujiandaa na msimu mpya.
Depay
alipigwa picha akiwa amevalia jezi namba...



KLABU ya Barcelona imefikia maubaliano na Atletico Madrid juu ya kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga
huyo mwenye umri wa miaka 28 alizivutia pia Chelsea na Manchester
United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake.
Barcelona
italipa Pauni Milioni 24 mbele na nyingine Pauni Milioni 5 zitalipwa
baadaye kufuatia mwanasoka huyo wa kimataifa wa...



KIUNGO
James Milner ametambulishwa kama mchezaji wa Liverpool leo na kusema
kiu yake ni kushinda mataji na Medali kibao akicheza dimba la kati
Anfield.
Mchezaji
huyo wa kimataifa wa England amesema anataka kuendeleza desturi ya
kuinua mataji kama ilivyokuwa Manchester City baada ya kupata nafasi ya
kufanya kazi na kocha Brendan Rodgers.
Ingawa
hakusema moja kwa moja kuhusu...



MKONGWE Andrea Pirlo ameondoka rasmi Juventus kuhamia New York City, klabu zote zimethibitisha.
Mwanasoka
huyo wa kimataifa wa Italia amecheza kwa miaka minne Juve ikiwa Serie
A, na sasa ataungana na kiungo mwenzake mkongwe wa England, Frank
Lampard timu hiyo ya Ligi Kuu Marekani, maarufu kama Major League Soccer
itakayoanza Julai 21.
Pirlo anayetarajiwa kusaini Mkataba wa miezi 18, ameiambia tovuti...



MGANDA
aliyeifunga mabao mawili Tanzania ikilala 3-0 katika mchezo wa kwanza
Raundi ya Kwanza kufuzu CHAN ya mwakani, Erisa Sekisambu amechukua
nafasi ya John Raphael Bocco klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.
Azam
FC ilikubali kumuuza mshambuliaji wake John Raphael Bocco ‘Adebayor’
kwa dola za Kimarekani 80,000 zaidi ya Sh. Milioni 160,000 za Tanzania
kwa klabu ya Free State Stars,...


Robin van Persie was back in Cheshire as he prepares to return to training after his summer break
Van Persie's agent has played down speculation that he is on the verge of leaving Manchester United
The Dutchman was out and about in the leafy suburb on Sunday evening after a meal with his family
Van Persie will return to training at Carrington with the rest of the United squad on Monday morn...


Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.
Katika mchezo huo Marekani ilifanikiwa
kutawala mchezo kwa muda wote kwani ndani ya dakika 15 tayari wailikua
wameshafunga mabao 4 na kuwachanganya zaidi wapinzani wao.
Hapa nimekuwekea pichaz wakati wakishangilia...
Subscribe to:
Posts (Atom)