MENEJA
wa Manchester United Louis van Gaal hana njia ya mkato ili kuokoa
kibarua chake bali kuifunga Stoke City huko Britannia Stadium hapo
Jumamosi, Boksing Dei. Man United hawajashinda katika Mechi 4 za Ligi Kuu England na Mechi hii na Stoke imechukua umuhimu mkubwa. Hilo linajulikana na Van Gaal mwenyewe ambae amesema Mechi na Stoke ni lazima washinde. Van Gaal ameeleza:
...
Friday, December 25, 2015


LIGI KUU ENGLAND RATIBAJumamosi Desemba 26 15:45 Stoke vs Man United 18:00 Aston Villa vs West Ham 18:00 Bournemouth vs Crystal Palace 18:00 Chelsea vs Watford 18:00 Liverpool vs Leicester 18:00 Man City vs Sunderland 18:00 Swansea vs West Brom 18:00 Tottenham vs Norwich 20:30 Newcastle...


STRAIKA MAHIRI wa Tanzania anaechezea Klabu ya Congo DR, TP Mazembe Mbwana Samatta yuko njiani kwenda Ulaya kujiunga na Klabu kubwa ya Belgium KRC Genk. Kwa
mujibu wa Jarida la kuaminika la France, L’Equipe, TP Mazembe na Genk
wamefikia makubaliano kwa Fowadi huyo hatari kuhamia Genk Mwezi Januari
Dirisha la Uhamisho likifunguliwa. Inaaminika Samatta atasaini
Mkataba wa Miaka Minne na...


Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.Diamond akiwachombeza mashabiki. Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume. Akiongea na...
Subscribe to:
Posts (Atom)