Mkali wa Bongo fleva, Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB), amekaa kwenye interview hii na Millard Ayo na amezungumzia kuhusu kujiendeleza zaidi katika masuala ya lugha, Harmonize amesema…
>>>’Kuna
mwalimu pale ofisini...
Wednesday, June 29, 2016


Liverpool wamekamilisha kumsaini Sadio Mane kwa Dau la Pauni Milioni 34 kutoka Southampton na kumpa Mkataba wa Miaka Mitano. Dau
hilo linaweza kupanda na kufikia Pauni Milioni 36 likizidi lile la
Mchezaji alienunuliwa na Liverpool kwa ghali kupita yeyote walipotoa
Pauni Milioni 35 kumnunua Andy Carroll Mwaka 2011. Dili hii
imemfanya Mane, anaetoka Senegal, kuwa ndie Mchezaji wa Bei...


Leo June
29 2016 Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetengua matokeo ya ushindi
yaliyompa Ubunge, Onesmo Nangole ‘CHADEMA’ jimbo la Longido kutokana na
udanganyifu.
Akisikiliza
kesi hiyo Jaji Sivangilwa Mwangesi amesema fomu zilizotumika kuandika
matokeo ni fomu 21b za udiwani badala ya kutumia fomu 21c za ubunge...


June 28
2016 ziliripotiwa taarifa kuwa watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na
kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway
wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi
duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
Leo June
29 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe...


Mgodi wa
dhahabu wa Geita ‘GGM’ June 28 umetoa vifaa vya msaada katika hospitali
ya Muhimbili vyenye thamani ya shilingi milioni 23 ili kusaidia jitihada
za serikali katika kuboresha huduma za afya katika kitengo cha watoto
Muhimbili.
Vifaa
vilivyotolewa ni pamoja na Bp Mashine 10,...


June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika mchezo huo Yanga ilifungwa goli 1-0, goli amble lilifungwa na Merveille Bope dakika ya 74.
...
Subscribe to:
Posts (Atom)