Mkali wa Bongo fleva, Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB), amekaa kwenye interview hii na Millard Ayo na amezungumzia kuhusu kujiendeleza zaidi katika masuala ya lugha, Harmonize amesema…
>>>’Kuna
mwalimu pale ofisini WCB anafundisha lugha lakini kuiongea lugha kabla
haujaijua vizuri si kitu kizuri kiiungwana, kuna mwalimu pale special
kabisa kwa sababu msanii yoyote wa WCB kwa sababu tunahitaji kutanua
mziki wetu ufike tuwe na market ya nje pia’
>>>’hatuwezi
kuwa na biashara ya nje, unawezaje kuwa na biashara nje na wakati
international language hauwezi kuiongea, inakuwa ni vigumu kwa hiyo
tunajaribu na management ililiona hilo mapema na likaishughulikia kuna
mwalimu pale anatufundisha lugha vizuri tu‘- Harmonize
0 maoni:
Post a Comment