Thursday, April 9, 2015

MENEJA wa Chelsea Jose Mourinho ameusapoti msimamo wa Arsene Wenger kwamba Ballon d'Or ifutiliwe mbali Mwezi Januari, Wenger, ambae ni Meneja wa Arsenal, aliiponda Tuzo hiyo ya FIFA anaetunukiwa Mchezaji Bora Duniani wa Mwaka na kusisitiza kuwa angepewa nafasi ya kupiga Kura asingekubali. Hata hivyo, Wenger hana nafasi ya kumpigia Kura Mgombea wa Tuzo hiyo kwa vile Washiriki wake ni Makocha...
FIFA Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani kwa Nchi na Mabingwa wa Dunia Germany wameendelea kuwa juu wakifuatiwa na Argentina huku Tanzania ikishuka Nafasi 7 na kushika Nafasi ya 107. Nchi ya juu kabisa kwa Afrika bado ni Algeria lakini imeporomoka Nafasi 3 na sasa ipo ya 21 ikifuatiwa na Ivory Coast ambayo pia imeshuka Nafasi 3 na ipo ya 23. Nchi mpya kwenye 10 Bora ni Switzerland na Spain wakati...
Real Madrid inazidi kuipumulia Barcelona katika mbio za La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano 2-0 Kwa ushindi huo, Real Madrid inaendelea kutofautishwa kwa pointi kati yake na Barcelona ambayo hapo awali iliifumua Almeria 4-0. Ronaldo akishangilia bao lake la 300Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo aliyetupia katika dakika ya 68 muda mfupi baada ya kulimwa kadi...
                    ...

waliotembelea blog