
Wasanii
wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa
Kagera leo waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kushuhudia
Tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha
welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi
wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa...