Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane. Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid.
“Kwa...