Saturday, April 18, 2015

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA: CHELSEA KILELENI. English Premier League # Team GP W D L GF GA GD PTS 1 Chelsea 31 22 7 2 64 26 38 73 2 Arsenal 32 20 6 6 63 32 31 66 3 Man United 32 19 8 5 ...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed Msangi. MSHITUKO wa matukio ya mfululizo ya ajali, umeendelea kugubika nchi, baada ya watu 20 kupoteza maisha katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace, iliyotokea jana wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Ajali hiyo ambayo taarifa na picha zake zilisambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, imesababisha taharuki kutokana na ukaribu wake...
Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu...
Wachezaji wa Coastal Union wakipata darasa kutoka kwa Kiongozi (Meneja) wa Klabu hiyo ya Tanga Jamhuri Kihwelo wakati wa Mazoezi yao. Kocha Mkuu wa Coastal Union, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amewaambia wachezaji wake wanatakiwa kufanya kila linaliwezekana kuhakikishaw anashinda mechi yao inayofuata. Coastal Union itakipiga dhidi ya Polisi Moro ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri...

waliotembelea blog