Arturo
Vidal aliipatia bao dakika ya 57 kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati
na kuitanguliza bao 1-0 dhidi ya As Monaco. Ricardo Carvalho alioneshwa
kadi ya njano baada ya kumfanyia rafu mbaye eneo la penati Álvaro
Morata.VIKOSI:Juventus 11: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Vidal, Pirlo, Marchisio, Pereyra, Tevez, MorataAkiba: Storari, Barzagli, Padoin, Sturaro, Pepe, Llorente,...
Tuesday, April 14, 2015


Vuta ni kuvute katika kipindi cha pili...Kipindi
cha kwanza kimemalizika hakuna aliyeliona lango la mwenzake licha ya
Timu ya Real kuliandama kwa wingi lango la Atletico Madrid.VIKOSI:Atletico Madrid Wanaoanza: Oblak, Juanfran, Miranda, Godin, Siqueira, Gabi, Mario Suarez, Koke, Arda, Griezmann, MandzukicAtletico Akiba: Moya, Gamez, Gimenez, Tiago, Raul Garcia,...



Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa
kuendelea kesho jumatano katika viwanja viwili nchini, jijini Tanga
wenyeji Maafande wa Mgambo Shooting watawakaribisha timu ya Azam FC
kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Mjini Morogoro wakata miwa wa Mtibwa
Sugar watakua wenyeji wa maafande wa jeshi la Magereza nchini timu ya
Tanzania Prisons kutoka Mbeya, mchezo utakaopigwa...


KAMATI YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI YA BODI YA LIGI
Kocha Jackson Mayanja wa Kagera
Sugar amepigwa faini ya sh. 500,000 na kufungiwa mechi tatu kwa kutoa
lugha ya kashfa kwa maneno na vitendo kwa waamuzi wa mechi yao na Mtibwa
Sugar kuwa walipewa rushwa.
Adhabu dhidi ya Kocha Mayanja
kwenye mechi hiyo namba 136 iliyochezwa...


Kagera Sugar imeshinda mechi tano Uwanja wa Kambarage tangu ihamishie
maskani yake mjini Shinyanga ikitokea Mwanza ilikopoteza mechi tatu
mfululizo na kulazimika kuhama.’
KAGERA Sugar FC imesahihisha makosa ya kufungwa 2-1 dhidi ya Simba SC
wiki iliyopita baada ya kuilaza Ruvu Shooting Stars mabao 2-0 katika
mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa CCM
Kambarage...


Klabu ya Wekundu wa Msimbazi
Simba SC, imepigwa faini ya sh. 300,000 na TFF kupitia kamati yake ya
Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Kuu mara baada ya timu yao kugoma
kuingia kwenye vyumba vya kuvalia nguo (changing room) kwenye Uwanja wa
Kambarage mjini Shinyanga wakati wa mechi dhidi ya Kagera Sugar.
Hatua hiyo ilisababisha wachezaji wakaguliwe kwenye gari lao.
Katika mchezo huo Simba...


Meneja
wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa Mchezaji wao Raheem Sterling
hakuonyesha nidhamu ya Mwanamichezo baada ya kuibuka Picha akivuta
Mtemba maarufu kama Shisha ambao unadhaniwa kuwa na Gesi inayolewesha
'Nitrous Oxide.'
Picha
za Sterling akivuta Shisha zilizagaa Jana huko England kwenye Vyombo
vya Habari na baadae kuibuka Picha nyingine zikimwonyesha Staa huyo wa
Miaka 20...


Zimefanyika
kampeni mbalimbali duniani kote kupinga tukio la wasichana waoaminiwa
kutekwa na kundi la kigaidi la Boko haramu nchini Nigeria, wasichana
ambao walitekwa wakiwa shuleni.
Leo Jumanne ya April 14 2015 watu
mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo
katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni...
Subscribe to:
Posts (Atom)