Wednesday, August 13, 2014

...
Moto Mkubwa ukiendelea kuwaka katika eneo la juu la Jengo la Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Mivumoni (Mivumoni Islamic Seminary) iliyopo ndani ya Msikiti wa Mtambani,Kinondoni B Jijini Dar es Salaam jana. Eneo hilo ambalo lilikuwa likitumika kama Mabweni ya Wanafunzi wa Shule hiyo,Maabara na Ofisi za Walimu limeteketea kabisa kiasi kwamba hakuna kitu chochote...
Henrikh Mkhitaryan and Pierre-Emerick Aubameyang put hosts ahead in German Supercup final Superhero: Aubameyang celebrates scoring Dortmund's second by wearing a Spiderman mask Borussia Dortmund 2-0 Bayern MunichBorussia Dortmund: Langerak, Piszczek, Sokratis, Ginter, Schmelzer, Kehl, Kirch, Hofmann, Mkhitaryan, Aubameyang, ImmobileSubs: Alomerovic, Subotic, Bender, Jojic, Grosskreutz, Ramos,...
Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kurithi nafasi yake Alejandro SabellaArgentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kuiongoza timu ya taifa baada ya kung'atuka kwa kocha wa zamani Alejandro Sabella.Martino, 51, alifurushwa kutoka Barca mwisho wa msimu uliyopita baada ya kushindwa kushinda taji lolote kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 2007.Aliwahi...
Cristiano Ronaldo, Jana alipiga Bao zote 2 wakati Real Madrid inaichapa 2-0 Sevilla na kutwaa UEFA Super Cup huko Cardiff, Wales na kumfanya afikishe Bao 70 katika Mashindano ya Ulaya na hivyo kumpiku Lionel Messi katika Ufungaji.Mwezi Aprili 2012, Ronaldo alikuwa Bao 18 nyuma ya Messi kwa Ufungaji Mabao kwenye Mechi za Klabu Barani Ulaya lakini tangu wakati huo Ronaldo alicharuka na...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti...
MANCHESTER UNITED imemteua Wayne Rooney kuwa ndie Kepteni wao mpya.Rooney, Miaka 28, anachukua wadhifa uliokuwa ukishikiliwa na Nemanja Vidic ambae amemaliza Mkataba wake na kuhamia Inter Milan Mwezi uliopita.Klabu hiyo pia imemteua Darren Fletcher kuwa Msaidizi wa Rooney. Jana, wakicheza Mechi ya Kirafiki na Valencia Uwanjani Old Trafford na kushinda 2-1, Rooney ndie alivaa utepe wa Nahodha...
Mchezaji wa Manchester United Marouane Fellaini ndie aliyewafungia bao la Ushindi katika dakika za majeruhi za dakika 90 muda wa nyongeza. Kwenye dakika za lala salama dakika za nyongeza Marouane Fellaini aliwafungia bao la Ushindi Manchester United baada ya kupata mpira kutoka kwa Tyler Blackett na kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Valencia kwenye kipute hicho cha Kirafiki hapo...
Wachezaji wa Real - Bale, Benzema na Rodriguez wakimpongeza Ronaldo baada ya kuwapatia bao katika kipindi cha kwanza dakika ya 30.Pongezi hazikukauka kwa Ronaldo katika mtanange huu!!Asante Baba!! We ni mkubwa!!James akipongezana na Ronaldo!Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza dhidi ya SevillaRonaldo ndie aliyekuwa mwiba leo katika mechi hii!!Ronaldo akimsambaratisha kipa wa Sevilla...

waliotembelea blog