Pongezi hazikukauka kwa Ronaldo katika mtanange huu!!
Asante Baba!! We ni mkubwa!!
James akipongezana na Ronaldo!
Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza dhidi ya Sevilla
Ronaldo ndie aliyekuwa mwiba leo katika mechi hii!!
Ronaldo akimsambaratisha kipa wa Sevilla kwa shuti kali langoni mwake
Hakunaga!!! Ronaldo akipeta!
Kipindi cha pili dakika ya 49 Ronaldo alifunga bao la pili na kufanya 2-0 baada ya kupata pasi kutoka kwa Karim Benzema na kuachia shuti kali lilillomzidi nguvu kipa wa Sevilla na kuzama langoni mwao. Mpaka dakika 90 zinamaizika Real ndio walikuwa mbele ya bao 2-0 hivyo kuibuka na ushindi kwa kutwaa Kombe hilo la UEFA Super cup 2014 na Bao hizo zikiwekwa kimiani na Mchezaji machachari Cristiano Ronaldo.
Pepe kama kawaida yake!!
Vidal na Fabio wakikwaana kuugombania mpira katika kipindi cha kwanza
Sergio Ramos akifanya mambo yake!!
Mashabiki wa Sevilla wakiipamba timu yao leo ambapo imenyukwa na bao 2-0 na mchezaji cristiano Ronaldo.
Mashabiki wa Real
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Pepe, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Kroos, Rodriguez, Modric, Bale, Benzema, Ronaldo.
Subs: Navas, Varane, Marcelo, Arbeloa, Di Maria, Isco, Illarramendi.
Sevilla: Beto, Coke, Pareja, Fazio, Fernando Navarro, Alex Vidal, Krychowiak, Carrico, Vitolo, Suarez, Bacca.
Subs: Barbosa, Diogo Figueiras, Reyes, Jairo, Iborra, Aspas, Luismi.
Referee: Mark Clattenburg (England)
Mashabiki wakishangilia timu yao kwenye Uwanja wa Cardiff City
RSS Feed
Twitter
1:29 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment