Sunday, August 3, 2014

+9 Anawindwa: Javier Hernandez (kushoto) yupo katika rada za Southampton ambao wamepanga kutumia paundi milioni 70 majira haya ya kiangazi. Southampton  wanapanga kutumia paundi milioni 70 siku chache zijazo ili kusajili wachezaji wataoziba nafasi za nyota wao walioondoka. Saints wanatarajiwa kuwasajili baadhi ya wachezaji watakaoachwa na Manchester United wakati huu...
+7 Mwanzo mzuri: Joe Allen akipongezwa na Rickie Lambert baada ya kuifungia bao la kuongoza Liverpool dhidi ya AC Milan. LIVERPOOL wametinga fainali ya mashindano ya kimataifa ya maandalizi ya msimu nchini Marekani na sasa watakabiliana na wapinzani wao wakubwa Manchester United siku ya jumatatu. Hii inatokana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata dhidi ya AC Milani huko Charlotte. Mabao...
Miss Redd's Kagera 2014 Jackline Kimambo kwenye pozi ya picha baada ya Kutangazwa Mshindi usiku wa kuamkia leoMshindi wa Taji la Redd's Miss Kagera Jackline Kimambo(katikati) kwenye picha ya pamoja na mshindi wa  pili na watatu ambapo mshindi wa pili ni Nyangi Warioba na watatu ni Faudhia Haruna(kushoto).Babylove Kalala (kulia) akimvisha taji Miss Redd's Kagera 2014 Jacline Kimambo(katikati)...
Nyomi ya hatari: Mashabiki 109,00 waliitazama mechi kwenye uwanja wa Michigan mjini Ann Arbor. Louis van Gaal amekiri kuwa alikuwa na hofu ya ukubwa wa Manchester United baada ya kuwafunga Real Madrid mbele ya mashabiki 109,000 jana usiku nchini Marekani. Van Gaal alisema: 'Tumecheza mbele ya mashabiki 300,00  kwenye ziara hii na watakuwa wengi zaidi katika mechi ya...
Louis van Gaal amejipa nafasi ya kutwaa kombe la kwanza akiwa Manchester United ikiwa ni wiki tatu tu tangu aanze kazi. Kushindi kombe la kimataifa la maandalizi ya msimu nchini Marekani sio sababu ya kusema Man United itakuwa kali na kufuta machungu ya miezi 12 ya David Moyes, lakini utakuwa mwanzo mzuri kwa Mholanzi huyo katika dimba la Old Trafford kama timu yake itashinda fainali...
MALAWI wamefuzu hatua ya makundi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za mataifa ya Afrika, AFCON 2015 nchini Morocco baada ya kuifunga Benin kwa mikwaju 4-3 ya penalti. Mechi iliyopita mjini Cotonou, Malawi walifungwa bao 1-0 na leo wakiwa nyumbani wamepata ushindi wa aina hiyo, hivyo sheria ya mikwaju ya penalti kutumika kuamua mshindi. Bao pekee la ushindi kwa Malawi liligungwa...
+  Mashabiki 21 wa Westham na Newcastle wamekamatwa na polisi mjini Dusseldorf (picha ya juu haihusiani na tukio). POLISI nchini Ujerumani wamewatia mbaroni mashabiki 21 wa klabu za Westham na Newcastle baada ya kuanzishaji fujo na kuzichapa 'kavukavu' huko Dusseldorf. Mapigano hayo yalizuku baina ya mashabiki hao hasimu jana mchana na polisi 100 walipelekwa eneo la tukio...
...
SEYDOU Keita amemfananisha kocha wa Roma, Rudi Garcio na kocha wake wa zamani akiwa Barcelona, Pep Guardiola. Kiungo huyo wa zamani wa Barca alijiunga na timu hiyo ya Seria A kwa mkataba wa mwaka mmoja majira haya ya kiangazi kufuatia kumalizana na Valencia.  Nyota huyo mwenye miaka 34 anajiimarisha ili kutafuta nafasi chini ya Garcia na amezifananisha mbinu za Mfaransa...

waliotembelea blog