Friday, September 20, 2013

Ray J aliwajia juu polisi akiwatuhumu kufanya utani kwenye mwili wa Whitney Houston baada ya muda mfupi kufariki walipoukuta mwili wake ndani ya Hoteli imeripoti TMZ. Ra J ambae alikuwa anamahusiano ya kimapenzi na marehemu Whitney miezi michache kabla ya umauti kumkuta. Nje ya hoteli ambayo alifariki polisi na wanahuduma ya kwanza walifanya ujinga wao ndani ya hoteli hiyo, channzo kimoja...
Nikiwa kama mtanzania halisi na mdau mkubwa wa michezo nchini hasa soka niliamua kujitosa katika kugombea uongozi ndani ya shirikisho la soka nchini katika uchaguzi wa shirikisho hilo ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi ujao.  Kwa sifa nilizonazo na mapenzi yangu niliamua kuomba kugombea katika nafasi ya kuingia kwenye kamati ya utendaji nikiuwakilisha mkoa wa Dar Es Salaam....
Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye sasa ni mjasiriamali pia Anasteria Sanga Linah au muite Ndege Mnana amefunguka kuwa producer wa studio ya Bhitz Pancho Latino ndiye mwenye siri nzito ya penzi lake na msanii mwenzake Amini ambaye kwasasa penzi lao limekuwa stori ya kale baada ya kuachana.  Linah amesema tokea wanaanza mapenzi yao Pancho ndiye alikuwa mtu pekee anayejua mambo mengi...

waliotembelea blog