Saturday, January 21, 2017

Ni taarifa rasmi kutoka IKULU Dar es salaam juu ya maamuzi mapya ya Rais John Pombe Magufuli ambaye leo January 21 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Cheo cha mwisho alichopewa Anne Kilango kilikua ni ukuu wa mkoa wa Shinyanga lakini April 11 2016 Rais Magufuli alitengua uteuzi...
Usiku wa January 21 2017 wawakilishi pekee wa ukanda wa Afrika Mashariki katika michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017, timu ya taifa ya Uganda ilitolewa rasmi katika michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini nchini Gabon. Uganda wameaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Misri...
Ay ambaye ni staa wa smash hit ya ‘zigo’ na kwasasa akiwa ana brand new single na Nyasinski amechukua time yake na kuwaandikia Wasanii wenzake yafuatayo >>>> ‘Ndugu zangu Wasanii wa kibongo, Wadau na Mashabiki wa muziki nimeona sio vibaya kuwashirikisha na nyie jambo hili‘ ‘Ili ...
January 21 2017 Mabingwa watetezi wa Kombe la ASFC klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilishuka dimba kuanza kutetea taji lake hilo, kwa kucheza dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4...
1-1Juan Mata kawapa zawadi Stoke City dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza.Mata kajifunga bao dakika ya 19 na kuwapa zawadi Stoke City kipindi cha kwanza. mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika United 0 Stoke City 1.Man United kwenye harakati za kupunguza pengo na kusonga mbele...
Bao za liverpool zilifungwa na Roberto Firmino dakika ya (55' na dakika ya 69') Huku bao za Swansea City zikifungwa na Fernando Llorente dakika ya (48' na dakika ya 52') Kipindi cha pili Gylfi Sigurdsson akiwafungia bao la ushindi dakika ya (74') na mtanange kumalizika dakika 90 kwa Swansea kujikwamua mkiani na kupanda juu na kuwashangaza Mashabiki wa Majogoo na kwenye Uwanja ...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi huo unaanza mwaka huu 2017 hadi 2021. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Januari 18, 2017 iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura inasema: “Tuna faraja kukufahamisha kuwa umeteuliwa kuwa...
Ligi Kuu England RATIBA Jumamosi Januari 21 15:30 Liverpool v Swansea City 18:00 Bournemouth v Watford 18:00 Crystal Palace v Everton 18:00 Middlesbrough v West Ham United 18:00 Stoke City v Manchester United 18:00 West Bromwich Albion v Sunderland 20:30 Manchester City v Tottenham Hotspur Jumapili Januari 22 15:00 Southampton v Leicester City...
MANCHESTER City sasa wameruhusiwa kumtumia Staa Mbrazil wa Miaka 19 Gabriel Jesus kwenye Mechi yao ya EPL, Ligi Kuu England, ya kesho Jumamosi dhidi ya Tottenham Hotspur. City walishafikia makubaliano na Klabu ya Brazil Palmeiras tangu Mwezi Julai Mwaka Jana kumnunua Kinda huyo wa Brazil mwenye Miaka 19 kwa Dau la Pauni Milioni 27 na pia kukubali Mchezaji huyo abakie Palmeiras hadi...

waliotembelea blog