Saturday, March 22, 2014

Wataalamu wanaendelea na juhudi za kuchunguza iliko ndege ya Malaysia China imeanza kuchunguza picha mpya za setilite zinazoonyesha kitu kama mabaki ya ndege kwenye eneo la kusini mwa bahari ya Hindi. Picha hizo ni...
Sir Alex Ferguson (katikati) akiwa amesimama na viongozi wa chuo cha Ulster Ireland baada ya kupewa degree ya heshima kutokana na mchango mkubwa aliyoutoa kwenye soka hususani Man utd. Katika maneno yake mbele ya wanachuo 500 Sir Alex alisema ' Najivunia kupokea degree hii ya heshima kutoka kwenye chuo kikubwa kama hiki. Ninayo furaha sana kuona hata chuo kimeona mchango wangu...
Matokeo ya vipimo vya majeraha aliyoyapata Van Persie kwenye mechi dhidi ya Olympiacos yameonesha mchezaji huyu atakuwa kwenye matibabu kwa wiki sita. Majibu ya vipimo hivi yamekuwa tofauti ya fikra za wengi akiwemo kocha Moyes waliofikiri RVP amepata majeraha madogo. Kutokana na majeraha haya RVP ataweza kukosa mechi zifuatazo; Mar 23: West Ham (A) Mar 25: Man City (H) Mar...
Ronaldo, Pepe na wapenzi wao wakiangalia mechi ya basketball kati ya Real Madrid na CSKA Moscow     Alex Oxlade-Chamberlain, Keiran Gibbs na  Aaron Ramsey wakicheza pool. Rio Ferdinand akiwa mwenye furaha huku akiimba ndani ya gari yake siku ya alhamisi asubuhi siku moja baada ya United kuipiga Olympiacos.   Kiungo wa Arsenal,...

waliotembelea blog