Sunday, July 3, 2016

Wanafunzi wa chuo Cha Uhasibu (TIA), jijini Dar es Salaam, wakipatiwa maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF walipotembelea banda la Mfuko huo lililoko jingo la Wizara ya fedha kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, 2016 viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 2, 2016. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,...
Afisa Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mohamed Siaga akifurahia huku kionyesha tuzo walizokabidhiwa. Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa kikombe chao Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akihojiwa na Waandhi wa habari baada ya Mfuko wake kukabidhiwa Kikombe cha ushindi wa kwanza wa Kundi la Mifuko ya Hifadhi ya jamii na Makampuni...

waliotembelea blog