
MAELFU
ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, na wakazi wengine wa jiji la
Mwanza, leo Ijumaa Juni 5, 2015, walifurika kwa wingi kwenye ofisi za
CCM wilaya ya Nayamagana na ile ya Ilemela, wengine wakitaka kumuona na
kupeana mikono na wengine kwa nia ya kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na
Mbunge wa Monduli, Edwrad Lowassa, alipofika jijini Mwanza kutafuta
wana CCM wa kumdhamini katika...