Mwanamuiki
nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na
waandishi wa habari
KAMPUNI
ya MultiChoice Tanzania mapema jana imezindua ofa kabambe za msimu wa
siku kuu huku ikimtambulisha rasmi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa
balozi maalum wa bidhaa za kampuni hiyo ikiwemo kifurushi cha DSTV
BOMBA chenye chaneli zaidi ya 65 ikiwemo huduma ya vituo kadhaa vya...
Thursday, November 5, 2015


Mwanamuziki
aliyewahi ishi nchini Tanzania na pia mwenye asili ya Congo, Jeff
Maximum ambaye anaishi Ughaibuni katika shughuli zake za Muziki katika
pozi ambapo kwa sasa ameachia video ya wimbo wake mpya wa "Mama Afrika"
ambao wimbo huo unatangaza Utalii wa Tanzania.
Mwanamuziki
anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai, Jeff Maximum tayari
ameshaachia video ya wimbo wake...


Ushirikina ni jambo ambalo limekuwa likihusishwa kwa kiasi kikubwa katika soka hususani barani Afrika, hata katika timu zetu za Ligi Kuu Tanzania bara zimekuwa zikifanya baadhi ya vitu ambavyo vinahusishwa na imani za kishirikina, millardayo.com ilipata bahati ya kufanya exclusive interview...


Usiku wa November 4 kulichezwa michezo kadhaa ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya
na tuliona baadhi ya vilabu vikiondoka na point tatu kwa furaha na timu
nyingine zikiondoka vichwa chini baada ya kupoteza michezo hiyo, Usiku
wa November 5 mechi za UEFA ndogo zilipigwa kama kawaida.
Klabu...


Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kauli yake imeingia katika headlines usiku wa November 5 baada ya kuanza kuizungumzia klabu yake ya zamani ya Manchester United ya Uingereza.
Staa huyo wa Real Madrid amekiri kuwa Man United...


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inayojiandaa kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, imeendelea na mazoezi ya kujiweka sawa kuelekea mchezo huo utakaopigwa November 14 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na November 17 kurudiana Algeria.
Kabla ya kucheza mchezo huo Taifa Stars itacheza mchezo mmoja wa kirafiki...


USIKU WA EUROPA LEO – TIMU KUTAFUTA POINTI MUHIMU, NANI KUFUZU, NANI KUFELI?
Borussia
Dortmund, Napoli, Rapid Wien na Braga ni miongoni mwa Timu zinazoweza
kufuzu Usiku huu huku wakibakisha Mechi 2 mkononi za Makundi yao. Leo
zinachezwa Mechi za 4 za Makundi na Timu 9 kati ya 48 zinaweza kufuzu
hii Leo wakati Timu 5 zinaweza kutupwa nje ya Mashindano hayo hii Leo. IFUATAYO NI...
Subscribe to:
Posts (Atom)