Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki ametangaza kujiuzulu wadhifa wake leo Bungeni...
Friday, December 20, 2013


inShare
MASHABIKI wa Liverpool huenda wakachekelea kwa
muda kukalia usukani endapo timu yao itaichapa Cardiff City mchana wa
leo Jumamosi.
Arsenal inaongoza Ligi Kuu England ikiwa na pointi
35 lakini Liverpool na Chelsea itakayocheza keshokutwa Jumatatu na
Arsenal wote wana pointi...


Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
WABUNGE
wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii,
Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...


Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji.
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.
Padre akiongoza ibada ya mazishi katika uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.
Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja akifuatilia ibada ya kuuombea mwili wa Mabina.
Ndugu na jamaa...


Emmanuel
Okwi akilakiwa na shabiki maarufu wa Yanga, Steven (kulia) katika
uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere muda mfupi
baada ya kufika.
Mshambuliaji
wa Kimataifa wa timu ya Taifa ya Uganda aliyesajiliwa na Yanga SC,
Emmanuel Okwi, ametua jijini Dar es Salaam akitokea nchini Uganda. Mamia
ya mashabiki wa Yanga walihudhuria katika Uwanja wa Ndege...



RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi Desemba 21
15:45 Liverpool v Cardiff
18:00 Crystal Palace v Newcastle
18:00 Fulham v Man City
18:00 Man United v West Ham
18:00 Stoke v Aston Villa
18:00 Sunderland v Norwich
18:00 West Brom v Hull
Jumapili Desemba 22
1630 Southampton v Tottenham
19:00 Swansea v Everton
Jumatatu Desemba 23
23:00 Arsenal v Chelsea...
Subscribe to:
Posts (Atom)