Pamoja na kuzipata hizi picha kuna
maswali
unaweza kuwa nayo ikiwemo Idadi ya ndege
zitakazoweza kuhudumiwa
kwenye uwanja
huu mpya? utamalizika lini? gharama yake na mengine…
...
Baadhi ya majeruhi katika shambulio la kigaidi jijini Nairobi.
-Wadai Kenya ilipuuza onyo lao-Wasema ni kulipiza kisasi kwa Kenya kijihusisha katika vita ya Somalia -Watu zaidi ya 30 wadaiwa kupoteza maisha wengine wakijeruhiwa
KUNDI la Alshabaab, limethibitisha kuhusika na shambulio la kigaidi
lililotokea jana kwenye jengo la ghorofa nne lenye maduka la Westgate
jijini...
Warembo waliobahatika kuingia kumi bora
Tano bora ya Redd's Miss Tanzania 2013
Hii ndio tano bora ya Redd's Miss Tanzania 2013
. Je nani hapa ataondoka
na taji, gari na
kitita cha Milio ni 8? Warembo hao
kutoka kushoto ni
Happiness Watimanywa (Miss Photogenic),
Elizabeth Pretty, Clara Bayo
(Miss Sports Women), Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.
Fainali...