Kipindi
cha pili dakika ya 52 Karim Benzema na kufanya 3-2 nao Schalke 04
kusawazisha bao kupitia kwa Leroy Sane dakika ya 57 na kufanya 3-3 Agg
ikiwa 5-3 kiujumla. Dakika ya 84 Klaas Jan Huntelaar aliifungia bao la
nne Schalke 04 na kufanya bao kuwa 4-3 Agg kuwa 5-4.Ronaldo akiwa aamini kile kilichotokea Uwanjani baada ya kufungwa bao 4-3 na bao la Ugenini kuwabeba!Wachezaji wa Schalke...
Tuesday, March 10, 2015


Mshindi
wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la
uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake
Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto
Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la
uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo.
Katika kuadhimisha...


Mkurugenzi
wa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya, Dk. Mpoki Ulisubisya akiwaongozwa
Wakuu wa Mikoa ya Mbeya na Rukwa kuelekea Wodini kumjulia hali Mtoto
Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana
kijijini kwao juzi.
Mtoto
Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana
kijijini kwao juzi akiwa amelala kitandani akiendelea kupatiwa...



Kaimu meneja Acacia Buzwagi Simon Sanga akikabidhi zawadi.
Wanawake wa mgodi wa
Acacia Buzwagi kupitia mfuko wa maendeleo wa mgodi huo wameshiriki siku
ya wanawake kwa kutoa misaada mbalimbali kwenye vituo viwili vya
kulelea watoto yatima wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Wanawake hao kupitia kwa
makamu meneja wa Acacia Buzwagi Simon Sanga wamekabidhi Misaada hiyo
katika...


Freeman Mbowe akiongozana na viongozi wenzake kuelekea eneo la Mwakata wilayani Kahama
Mheshimiwa
Freeman Mbowe akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga,wa
kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya
Mheshimiwa
Freeman Mbowe (mwenye miwani kushoto) na viongozi wengine wa CHADEMA
Taifa wakijadiliana jambo kabla ya kukabidhi msaada kwa wahanga wa mvua...


Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro.Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF- Kilimanjaro wakishiriki kwenye mbio za Kilometa 5.Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF - Kilimanjaro wakimalizia kukimbi mbio za kilometa 5. MFUKO
wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za
zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka...



MECHI
za Marudiano za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UEFA CHAMPIONS LIGI
zinaanza kuchezwa Jumanne Usiku Machi 10 kwa Mechi mbili. Huko
Santiago Bernabeu, Mabingwa Watetezi wa Ulaya, Real Madrid, wako kwao
kurudiana na Schalke ya Germany ambayo waliitandika Bao 2-0 katika Mechi
yao ya kwanzo huko Nchini Ujerumani. Real
wako kwenye nafasi murua kuwa Timu ya kwanza kutua Robo Fainali ya...


Dakika
90 zimemaliza Arsenal wakiwa na Ushindi wa bao 2-1, bao la Ushindi
likifungwa na Danny Welbeck mchezaji wa zamani wa Timu ya Manchester
United katika dakika ya 61 baada ya Valencia kufanya makosa ya kurudisha
mpira nyuma.2-1Ushindi!!Umetupa bao!!Umerudi na kuua!!Danny Welbeck baada ya kutupia nyavuni bao la pili.
Arsenal walitangulia kufunga kwa Bao la
Dakika ya 25 la Nacho Monreal...
Subscribe to:
Posts (Atom)