Rais wa FIFA Sepp Blatter ambaye alitangaza dhamira ya kwamba atajiuzulu June 2 2015 baada ya shirikisho hilo litakapompata Rais mpya.
Leo hii amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mchekeshaji wa Uingereza Simon Brodkin kumfuata akiwa katika Press Conference alafu akamwagia pesa huku akijifanya kuwa yeye ni mjumbe wa FIFA kutoka Korea Kaskazini.
Simon Brodkin ambaye
anafahamika...
Tuesday, July 21, 2015


Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid
ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo
kwa miaka 16, lakini mambo yakabadilika baadae ambapo mwezi huu
alitangaza kuhamia Klabu ya FC Porto ya Ureno kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi.
Casillas amejiunga na FC Porto na atakuwa analipwa mshahara wa pound...



2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania,
kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia
Magazetini, kwenye TV, Radio na hata mitandaoni.
Mbunge James Lembeli
alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na
Maliasili.. kuna stori za baadhi ya Wabunge wametangazwa kuhama Vyama
vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM...
Subscribe to:
Posts (Atom)