Monday, October 21, 2013

denny boy...
 Mzee pius Ngeze alietimiza umri wa miaka 70 akiwa na Baba Askofu Methodius Kilaini                                      kanisa kuu la katoriki la bukoba ilipofanyika misa ya shukrani                              ...
Naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Mhe. Januari Makamba Naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari Makamba Naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari MakambaNaibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari Makamba (wa pili kulia) akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Mwananyamala, ...
Kikosi cha Simba Kikosi cha YangaWaamuzi wa mtange huo na timu kapteini Mashabiki wa Simba, Baadhi ya Mbwembwe za mashabiki wa Simba Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kulia) akiwatoka mabeki wa Simba, Joseph Owino na Gilbert Kaze, katika kipindi cha kwanza. Mashabiki wa Yanga Mashabiki kadhaa walizimia, mashabiki wa Simba wakishangilia ...
 Shabiki mwananke wa Yanga akitolewa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya kuzimia alipokuwa akishagilia bao la pili dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mechi ya  Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 3-3.  Shabiki mwingine wa Yanga akiwa amezimia  Wapenzi...
  Nicki Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya iliyo tengenezwa  na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink lamborghini Custom made for Minaj.  Picha Zaidi Ziko Hapa..... ...
Na Lucy Mgina KLABU ya Simba imemtaka kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, aandae kabisa gari la kuzima moto kwenye nyumba zake kwa kuwa ina uhakika mchezaji huyo hataweza kutimiza ahadi yake ya kufunga au kutoa pasi ya bao. Simba na Yanga zinakutana keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar na Ngassa ameahidi asipofunga au kutoa pasi itakayozaa bao, basi atazichoma moto nyumba...
Wakati ile movie ya Temptation  iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni...

waliotembelea blog