Wednesday, August 19, 2015

Najua kuna watu wangu wanaopenda kufanya matembezi sehemu mbalimbali duniani iwe kwa issue zao binafsi au hata kwa issue za kibiashara. Lakini ulishawahi kujiuliza ni viwanja gani vya ndege vyenye mvuto zaidi duniani? na Africa viko vingapi? Nimekutana na stori kwenye mitandao ambao wenyewe wamefanya utafiti na kuja na orodha ya viwanja 10 vya ndege vyenye mvuto wa kipekee kwa mwaka huu...
Leo kwenye zile Stori za 255 amesikika Fid Q kuhusu akaunti yake iliyotekwa,,anasema anashukuru akaunti yake kurudishwa, aliyehusika amesikitishwa na alichokifanya, anasema baada ya kugundua amemkosea alisikitika na kuomba msamaha kwa kile kilichotokea..tayari alianza mikakati ya kumfungulia kesi lakini kabla ya kufanya hivyo alipata ujumbe kutoka kwa msichana...
Mshambuliaji  wa kimataifa wa Italia mwenye asili ya Ghana anayeichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza Mario Balotelli ambaye amezoeleka kuingia katika headlines mbalimbali kuhusiana na tabia yake ya ukorofi na vituko vyake safari kaingia tena katika headlines ila sio kwa ukorofi au utukukutu. Hii ni good news kwa mashabiki watoto wa mshambuliaji huyo kwani amekuja na Brand ya viatu...
3-1 Fellaini akishangilia bao lake la dakika za nyongeza Old Trafford!Pongezi!Marouane Fellaini alitokea Benchi dakika ya 84 akichukua nafasi ya Nahodha wa Man United Wayne Rooney dakika ya 90 kwenye muda wa nyongeza aliipa Man United bao la tatu na kufanya Man unitedkuibuka na Ushindi wa bao 3-1 leo kwenye mechi ya Kwanza ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya Makundi. Club Brugge hawajawahi...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea Istanbul Uturuki kwa kambi ya wiki moja. Taifa Stars imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Oman tarehe 24 Agosti, 2015 usiku, ambapo baada ya mchezo huo timu itasafiri kuelekea nchini Uturuki...
Mabingwa wa Super Cup 2015 Athletico Bilbao baada ya wakuchapa Mabingwa Barca bao 5-1 usiku huu.Pique hoi!! akijificha uso! Gerard Piqué laomeshwa kadi nyekundu kipindi cha pili dakika ya 56.Lionel Messi alifunga bao dakika ya 43 kipindi cha kwanza na kufanya 1-0(Agg 1-4) dhidi ya Athletico Bilbao. Aritz Aduriz dakika ya 74 aliwasawazishia bao Bilbao na kufanya 1-1 na kufanya (Agg. kuwa 1-5)...

waliotembelea blog