Friday, October 30, 2015

PAMBANO LA AZAM FC NA JKT RUVU KATIKA PICHA Kikosi cha JKT Ruvu kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika uwanja wa Karume Dar es Salaa dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo Azam iliibuka na ushindi wa bao 4-2. Kikosi cha Azam FC. Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwania mpira na mchezaji wa JKT Ruvu, Michael Aidan. ...
Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu ya taifa Taifa Stars kwenda nchini, Algeria kwa mchezo utakaofanyika Novemba 17 mwaka huu. Katibu wa Kamati ya Timu ya Taifa Stars, Teddy Mapunda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo hii limeamuru Kamati ya muda inayoongoza Chama cha Mpira Zanzibar (ZFA) iondoe mahakamani mashatka yote dhidi ya uongozi halali wa ZFA. Katika barua yake kwenda kwa Katibu Mkuu wa ZFA na nakala yake kuletwa TFF, CAF imesisitiza kuwa kwa mujibu wa katiba za CAF na FIFA ni marufuku masuala ya mpira kupelekwa mahakamani, ZFA ni mwanachama...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa viongozi wa mpira wa miguu nchini waliochaguliwa kuwa wabunge na madiwani katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, 2015. Viongozi waliochaguliwa katika nafasi ya Ubunge ni John Kadutu – mbunge wa Ulyankulu – Tabora, (mjumbe wa mkutano mkuu kutoka Mwanza) na Alex Gashaza – mbunge wa Ngara (Makamu mwenyekiti...
Professor Jay ni mmoja wa rappers waliojitahidi kuwekeza nguvu nyingi kwenye Bongo Fleva, lakini 2015 aliamua kubadili nguvu hizo kwa kuwekeza zaidi kwenye Siasa… Kagombea Ubunge wa Jimbo la Mikumi Morogoro na kafanikiwa kupita kw enye nafasi hiyo. Prof. Jay, mshindi wa kiti cha Ubunge...

waliotembelea blog