Sunday, May 31, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa kwanza kulia) kwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven (wa pili kulia), Rais wa Afrika Kusini, Mhe Jacob Zuma (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Alain Nyamitwe (wa tatu kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt....
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi mbele ya umati wa watu waliofurika uwanja wa Sheik Amri Abeid jijini Arusha na kutaja vipaumbele vyake kuwa ni elimu,kupambana na umaskini,kulinda rasilimali za nchi  na kuwaunganisha watanzania . Mh.Lowassa ambaye aliingia.uwanjani...

waliotembelea blog