
KWENYE
Listi ya FIFA ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo, Mabingwa wa Dunia
Germnay bado wako Nambari Wani na Tanzania imeporomoka Nafasi 4 na sasa
iko Nafasi ya 110.Timu ya juu kabia kwa Afrika ni Algeria ambayo iko Nafasi ya 24 ikifuatiwa na Ivory Coast ambayo iko Nafasi ya 25.Listi nyingine ya Ubora itatolewa Septemba 18.
FIFA LISTI YA UBORA
DUNIANI: Agosti 14, 2014
...