Monday, August 18, 2014

Na Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' Wachezaji waliowahi kutamba na mabingwa wa ulaya Real Madrid wanatarajiwa kuanza kuwasili nchini wakati wowte katika juma hili kwa ajili ya ziara nchini ikiwemo kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mastaa wa Tanzania waliomaliza soka lao (Walio staafu). Hivi sasa katika kila kona ya nchini ziara hii ya nyota hao ambao wanakubalika vilabu mbalimbali ulaya...
LOUIS VAN GAAL ameambiwa ni lazima aende Sokoni kusaka Wachezaji Wanne wazuri kabla Dirisha la Uhamisho halijafungwa hapo Septemba Mosi.Huo ndio msimamo wa Kocha wa zamani wa Manchester United chini ya Sir Alex Ferguson, Mholanzi Rene Meulensteen, ambae ametoboa Kikosi cha sasa si imara katika mbio za Ubingwa.Jumamosi Uwanjani Old Trafford kwenye Mechi ya kwanza kabisa ya Msimu mpya wa...
Mechi ya kugombea Gamper Trophy dhidi ya Club Leon ya Mexico, Barcelona wameichakaza timu hiyo bila huruma ambapo Magoli ya Barva yamefungwa na Lionel Messi bao la mapema dakika ya 3  aliyefuata kufunga ni kijana matata Neymar aliyetokea kwenye kujiuguza majeraha yake dakika ya 12 na dakika ya 44 akifunga bao mbili. Bao la tatu lilifungwa kipindi cha pili dakika 55 na Munir El Haddadi...
Diego Costa akishangilia bao lake...Andre Schürrle akipongezana na Diego Costa baada ya kufunga bao. Chelsea waliongoza kipindi hicho cha kwanza kwa kuwabamiza Wenyeji Burnley bao 3-1. Kipindi cha pili hakuna aliyeliona lango la Mwenzake licha ya timu zote mbili kushambuliana kwa zamu!Kipindi cha kwanza Dakika 14 Burnley walitangulia kufunga bao kupitia kwa Scott Arfield baada ya kutuliza...
Klabu ya Arsenal itajielekeza nchini Uturuki jumanne wiki hii kuchuana na klabu ya Besiktas katika michuano ya ligi ya mabingwa. Besiktas haijawahi kucheza na Arsenal barani Ulaya. Mechi zingine zitakazochezwa jumanne wiki hii katika mzunguko wa kwanza ni pamoja na FC Copenhague kumenyana na Bayer Leverkusen, huku Naples ikiwa na kazi kubwa dhidi ya Athletic Bilbao. Mwaka jana Arsenal...
Manchester United wanajiandaa kuwekeza kitita cha kutosha ili kuinasa saini ya Angel Di Maria kutoka Real Madrid.  MASHETANI wekundu, Manchester United wanajiandaa kumwaga paundi milioni 100 kumshawishi Angel di Maria kutua Old Trafford wakati huu klabu inahitaji kujiboresha ili kushindania ubingwa wa ligi kuu England. Kocha mkuu wa United, Louis Van Gaal anahitaji kusajili wachezaji...
Baadhi ya wana Bongo dansi wakiwa katika picha ya pamoja na bendi ya vijana Jazz wakati wa kusherehekea mwaka mmoja wa kundi hilo tangu lianzishwe kwenye mtandao wa kijamii wa fecebook ambapo kundi hilo mpaka sasa lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali za mziki ya dansi nchini. picha na www.burudan.blogspot.com Baadhi ya wanachama maarufu wa Bongo dansi kushoto ni Abdulfareed...
...

waliotembelea blog