Alama
ya chaki ya kupulizia (spray) ni moja ya ingizo jipya kwenye michuano
ya Kombe la Dunia nchini Brazil. Tayari refa ameshaitumia mara ya kwanza
kwenye mechi ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia usiku wa kuamkia
leo, pale refa alipochora kwa kupulizia na kuweka alama wapi wachezaji
wasimame wakati wa kupigwa mpira wa adhabu (pichani chini), ili
kuthibiti zogo la wachezaji, ama wapi...
Thursday, June 12, 2014


WENYEJI,
Brazil, baada ya Sherehe ya Ufunguzi ya Fainali za Kombe la Dunia
iliyofana sana,walijikita Uwanjani na kucheza Mechi ya Ufunguzi kwa
kuichapa Croatia Bao 3-1.Croatia
ndio waliotangulia kupata Bao kwenye Dakika ya 11 baada ya Krosi ya
chini kutoka Winga ya Kushoto kumkuta Fulbeki wa Kushoto wa Brazil
Marcelo ambae alitumbukiza Mpira wavuni bila kutegemea.Aminia!!!! Oscar Supastaa
...


Bao
la pili la Brazil limefungwa tena na Neymar kwa mkwaju wa penati baada
ya mchezaji wa Croatia Dejan Lovren kumvuta jezi kwenye eneo hatari na
Neymar kuachia mkwaju huo na kipa wa Croatia kuupangulia ndani lango
lake na kufanya 2-1 dhidi ya Croatia.
Bao la tatu lilifungwa na Oscar katika
daika za majeruhi kwenye dakika ya za nyongeza 90+1, Baada ya kupewa
pasi na zikiwa zimeongezwa...


Singer
Jennifer Lopez, rapper Pitbull and Brazilian popstar Claudia Leitte
bounced around the giant stage as they sang the official World Cup song
'We Are One (Ola Ola)' during the opening ceremonyPopstar
Jennifer Lopez and rapper Pitbull performed to thousands of people at
the Arena de Sao Paulo in Brazil this evening as the opening ceremony of
the World Cup got underwaySuperstar
Jennifer...


Meneja
wa Brazil, Luiz Felipe Scolari, anatarajiwa kuutumia Mfumo wa 4-2-3-1
lakini hamna uhakika kama Kiungo wa Chelsea, Oscar, anaweza kuanza
kutokana na fomu yake kuporomoka hivi karibuni.Lakini asipocheza Oscar, Mchezaji mwingine wa Chelsea, Willian, huenda akajaza nafasi yake.Croatia
wanatinga kwenye Mechi hii wakiwa na pigo kubwa la kumkosa Mario
Mandzukic ambae yuko Kifungoni baada...
Subscribe to:
Posts (Atom)