Friday, October 25, 2013

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) akilakiwa na mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra' alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini China leo. Mama Diamond akisalimiana na rafiki wa Diamond aliyetua naye leo. Diamond akipozi na mama yake mzazi alipowasili uwanjani hapo majira ya saa nane mchana leo. Bi. Sandra akimlaki Rommy Jones...
Msanii Alaine Laughton (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa wasanii wa kimataifa watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni msanii ktoka Nigeria David Adeleke (Davido) na Kulia ni Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Allan Chonjo.Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi...
Itakuwa ni Vita nyingine ..ni kati Lionel Messi na Cristiano Ronaldo Ni Mechi pia itakayowakutanisha Mameneja wapya kwa Timu zote, Carlo Ancelotti toka Italy kwa Real Madrid na Gerardo Martino toka Argentina kwa Barcelona. . Real wako nafasi ya tatu , wakishinda michezo saba, sare moja na kupoteza mmoja kati ya tisa Mr Barcelona: ...
Kwa heshima ya Mashabiki zangu Nchi na Taifa langu  ilinibidi nirudi Maalumu kabisa kwajili ya Shoo hii ya  Fiesta Jumamosi pale Leaders Club ili  kuwakaribisha wageni zetu toka nje... lakini  pia kuwadhihirishia Wageni Hao kuwa Tanzania si  ya legelege imebarikiwa Wasanii  na wenye uwezo...! Tukutane pale leaders on saturday Madau wangu... ...
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ alitaka wazae kipindi walipokuwa wapenzi. Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Jokate alifunguka hayo juzikati alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mapaparazi wa Global Publishers, pamoja na kufunguka mengi, alibainisha kuwa Diamond huwa anapenda watoto kwenye uhusiano. Nasibu Abdul...

waliotembelea blog