Thursday, July 30, 2015

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam. Mke...
Licha ya kuhuzunishwa kufungwa 2-0 na Paris Saint-Germain huko Soldier Field, Chicago, USA, Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ameridhika na Timu yake na kudai kufungwa huko kutawasaidia. Kipigo hicho kimeifanya Man United washindwe kutetea Taji la International Champions Cup licha ya kushinda Mechi 3 ikiwemo ile waliyowatwanga 3-1 Mabingwa wa Ulaya Barcelona. Lakini Van Gaal...
Wakati klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya Ufaransa ikizidi kusisitiza kuwa uhamisho wa mchezaji wa Manchester United Angel Di Maria kwa asilimia kubwa umekamilika, kocha wa Manchester United Louis van Gaal amezungumza kitu cha kushangaza kidogo kuhusiana na Di Maria. Di Maria alishindwa kuripoti July 25 San Jose kujiunga na timu na kuanza mazoezi ya...
Msanii maarufu wa Hip Hop Marekani Tyga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo yupo matatani kufukuzwa kwenye nyumba yake iliopo Calabasas kwa kukwepa kulipa kodi ya nyumba hiyo kwa miezi miwili. Nyumba hiyo ni nyumba aliyokuwa akiishi na aliyekuwa girlfriend wake Blac Chyna na thamani ya kodi ya nyumba hiyo ni dola 25,ooo kwa mwezi sawa na Mil.50 za Kitanzania,...

waliotembelea blog