Sunday, February 23, 2014

Kocha David Moyes alivyokuwa anaonekana kabla ya mtanange kuanza!!Mabingwa Watetezi wa England, Manchester United, walishinda Bao 2-0 na kujikongoja Nafasi moja juu na sasa kukamata Nafasi ya 6.Hadi Mapumziko Mabao yalikuwa 0-0.Kipindi cha Pili, katika Dakika ya 62, Robin van Persie aliipatia Man United Bao la Kwanza kwa Penati iliyotolewa na Refa Michael Oliver baada Patrice Evra kuangushwa...
Rasmi: Rooney amethibitisha kusaini kwake Mkataba mpya United kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema 'furaha sana' Na Mahmoud Zubeiry MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amemshukuru kocha David Moyes jana usiku baada ya kujihakikishia mustakabali wake katika klabu ya Manchester United, kufuatia kusaini Mkataba mpya wa miaka mitano ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni...

waliotembelea blog