
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai na tumuombe
atuzidishie moyo wa upendo ili tuwe na amani katika nchi zote hasa za
Afrika Mashariki.Hakuna shaka yoyote nikisema kwamba uhai na ustawi
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) upo mashakani kutokana na viongozi
wa nchi hizo kuonesha kutoshikamana.Inanikumbusha mwaka 1977, EAC
iliposambaratika na kutokana na itikadi za kisiasa...